Kuhusu Hamisi
Hamisi alizaliwa tarehe 30 Mei 2012 katika Hospitali ya Amana, Dar es Salaam. Amekuwa akiendesha miradi ya teknolojia za elimu tangu shule ya msingi. Lengo lake ni kurejesha fursa za kujifunzia kwa kutumia mifumo ya kidijitali na kuhamasisha vijana kujifunza STEM.
Elimu
Minazi Mirefu Primary School (2018–2024)
Selected Dar es Salaam Secondary School (selected)
Nyeburu High School (2025–)
Selected Dar es Salaam Secondary School (selected)
Nyeburu High School (2025–)
Ujuzi
HTML · CSS · JavaScript · UX basics · Netlify deployment · SEO basic · STEM project design
Miradi ya Muda Mfupi
Habari & Matukio